DRC/ SIASA: Upande wa Moïse Katumbi unamutapika Raisi Félix Antoine Tshisekedi na muungano wake Union sacrée, na kulazimisha uchaguzi ufanyike kwa muda

Siku chache kabla ya kuanzisha uchuguzi nchini DRC, chama cha kisiasa chake Moïse Katumbi kimeanza kumutapika Raisi Félix Antoine Tshisekedi na muungano wake Union sacrée. Na kuonyesha kwamba hakuna kilichoendeka nchini DRC muda wa mhula wake, kiusalama, kiuchumi na hata kijamii.

Habari kutoka wab infos. com/ Actualité zaeleza kwamba mnenaji wa chama Ensemble pour la République chake Moïse Katumbi Tchapwe, Daktari Olivier Kamitatu ameonyesha kuwa, hakuna kilichoendeka kuhusu uongozi wake Félix Antoine Tshisekedi.

Ijapo ni hapa karibuni ndipo wakongomani watajiandaa kwenyi uchaguzi nchini mwao, baada ya miaka mitano ya uongozi wake Raisi Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo.

Kwa hiyo, chama cha kisiasa Ensemble pour la République kinasema kwamba, hakitaacha hata dakika moja pasipo kuandaa uchaguzi nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire