DRC : Kiwanda cha kutengeneza silaha kitaanza kazi hapa karibuni nchini humo

Dutu kutoka jeshi zilizo rushwa na wenzetu wa Wab infos. com zaeleza kwamba Kiwanda cha kutengeneza silaha kitaanza kazi hapa karibuni nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo.

Duru hizo zaongeza kwamba Kiwanda hicho kitaanza kutengeneza silaha rasha rasha ajili ya polisi ya taifa. Baadae kitatengeneza silaha za vitæ ajili ya askari jeshi wa taifa FARDC.

Duru za kijeshi zaeleza kwamba kiwanda hicho kitashimikwa kwenyi eneo la askari jeshi, ambako kunatengenezwa ma bomu nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire