Urusi/ Ureno: Vladimir Poutine anena kuwa hana shaba ya kubomowa nchi ya Ureno

Prezidenti wa Urusi Vladmir Poutine anena kwamba hana shabaa nyipya kutaka kugonga nchi ya Ureno, baada ya kuigonga mwanzoni mwa juma tunalo, akibomowa ulalo mjini Kiev.

Alieleza hayo mbele ya wandishi habari hii ijumaa tarehe 14 oktoba 2022, baada ya kilele ambamo aliweza shiriki mjini Astana.

« Mina sina shabaa nyipya kwa kuweza kugonga upya nchi ya Ureno. Nina shabaa zangu zingine, ila kwa sasa hakuna lengo lolote lile, » aeleza Raisi Vladimir Poutine. . Huyu alikutana na wandishi habari baada ya kilele ambamo aliweza shiriki pa Astana huko Kazakshtan.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire