Zaidi ya watu 150 elfu ni Wahami pia wanyonge wilayani Nyiragongo n’a Rutshuru
Hii ni ripoti kutoka Shirika la kimataifa husika na mambo ya kiutu OCHA, na idadi hiyo hutokana na mapigano Kati ya jeshi la taïfa na […]
Hii ni ripoti kutoka Shirika la kimataifa husika na mambo ya kiutu OCHA, na idadi hiyo hutokana na mapigano Kati ya jeshi la taïfa na […]
La communauté internationale est appelée à appliquer les sanctions politiques, économiques et diplomatiques sévères à tous les pays qui soutiennent les terroristes du M23. Et […]
Un concours Média Henriette Eke est organisé à l’intention de tous les journalistes oeuvrant dans la presse audio visuelle, écrite et
Un concours Média: Henriette Eke est organisé à l’intention des journalistes oeuvrant dans la presse audio visuelle, écrite et en ligne sur toute l’étendue de […]
Un concours Média est organisé à l’intention des journalistes oeuvrant dans la presse audio visuelle, écrite et en ligne sur toute l’étendue de la République […]
À sa descente d’avion ce dimanche 2 juillet 2022 à l’aéroport de Goma, la coordinatrice nationale de l’ONG Congo Focus madame Sephora Biduaya dit reconnaître […]
Watu saba miongoni mwao wanaume nne na akina mama tatu waliuliwa na wengine wengi kujeruhiwa na jambazi wenyi kumiliki silaha pa Kashuga, usultani wa Bashali […]
Watu saba miongoni mwao wanaume nne na akina mama tatu waliuliwa na wengine wengi kujeruhiwa , na jambazi wenyi kumiliki silaha pa Kashuga, usultani wa […]
Hali ilifanana kuwa shwari hii juma pili tarehe 3 julai kunako uwanja wa mapambano kati ya waasi wa M23 na jeshi la taïfa FARDC. Hata […]
Akihojiwa na wandishi habari kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, Mwanabunge wa taifa Hubert Furuguta anena kuja nyumbani ili kuishi shida pamoja na raia wa […]
Patrick Daudi Faraja ameambia wandishi habari mjini Goma kuundwa kwa teknolojia kuhusu uongozi. Kazi aliyoionyesha kwenyi kikao ID AFRICA mjini Marekech nchini Moroko. Watalaam katika […]
Wafungwa katika jela kuu Munzenze waishi katika hali ya kutishia, wakikosewa na chakula, pamoja n’a vitendo vingine vya ukiukaji wa haki ya binaadam. Akihojiwa na […]
Wanamugambo ADF wameshambuliya hii alhamisi tarehe 24 novemba 2022 wilaya la Irumu jimboni Ituri. Shirika lisilo la kiserkali CRDH maarufu lanena kwamba watu wamepoteza maisha […]
Mapigano kati ya waasi wa M23 na jeshi la taifa FARDC yamerudilia hii ijumaa tarehe 25 novemba 2022 eneo la Bishusha usultani wa Bwito wilayani […]
Hali iliokekana ya vuta ni kuvute hii juma tano tarehe 23 novemba mjini Bukavu. Chanzo ni kibarua kilicho andikwa na wabunge kadhaa kutaka kumuondoa madarakani […]
Le directeur exécutif de Kivu softt technologies Daniel Bishagari invite les parents à pouvoir envoyer leurs enfants au sein de cette institution, pour apprendre. Ils […]
Akitokea jimboni Ituri katika ziara za kazi, waziri mkuu Sama Lukonde amewasili hii alhamisi tarehe 21 septemba 2022 mjini Goma saa za jioni. Akisindikizwa na […]
Mapigano yameanza mara tena hii juma pili kwenyi nafasi iitwayo Trois antennes, kunako mlima Murinyundo pa Rushunda. Duru zaeleza kwamba askari Jeshi FARDC ni wenyi […]
Kiongozi husika na ulinzi wa mazingira Emmanuel Demerode ashutumiwa kuhudumia kimakao na vinginevyo waasi wa M23, wanaosababisha usalama mdogo jimboni Kivu ya kaskazini. Huyu ashutumiwa […]
Ni hii alhamisi tarehe 17novemba 2022, ndipo mea wa mji François Kabeya Makosa amehudumia wahanga wa vita kati ya askari Jeshi FARDC na waasi wa […]
Habari toka Irumu zaeleza kwamba watu kumi na wawili wauliwa na watu wasio julikana kwenyi kijiji Masome, eneo la Bandiamusu kwenyi barabara Komanda Bunia. Machafuko […]
Wanamugambo ADF wameshambuliwa kijiji Kabasha, huko Beni, kunako barabara Béni Butembo. Ni katika usiku wa juma nne kuamkia juma tano tarehe 9 novemba 2022. Katika […]
Mpasha habari Sonia Rolley wa Redio ya Ufransa RFI ameshurtishwa kuondoka kwenyi ardhi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo hii juma nne tarehe 8 novemba […]
Kamanda mkuu wa polisi mjini Goma, kamisa mkuu Job Alisa ameonyesha hii juma nne tarehe 8 novemba 2022, watu wawili washutumiwa utekaji nyara. Watu hawa […]
Ni hii juma tatu tarehe 7 novemba 2022 ndipo kundi mbili zenyi kushikilia silaha zimepigana mbele ya mchana kati. Hayo yalifanyika pa Bukumbirwa na Rusamambu […]
Ndege ya kivita aina SUKHOI-25 ilionekana ikizunguka angani mwa nchi ya Rwanda hii juma tatu tarehe 7 novemba 2022, mbele ya mchana kati . Ndege […]
Habari toka wilayani Rutshuru ni kwamba waasi wa M23 wamepora ofisi ya Tume huru ya uchaguzi CENI pa Rutshuru ya kati. Hayo yalifanyika majira ya […]
Ni hii juma mosi tarehe 5 novemba 2022 ndipo vijana 3325 walijiorodhesha ndani ya jeshi, wakikubali kuitumikia nchi yao Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo. Miongoni […]