Kivu ya kaskazini : Mapigano yameanza mara tena kati ya jeshi la taifa FARDC na waasi wa M23 hii juma pili

Mapigano yameanza mara tena hii juma pili kwenyi nafasi iitwayo Trois antennes, kunako mlima Murinyundo pa Rushunda.

Duru zaeleza kwamba askari Jeshi FARDC ni wenyi hali nzuri ila kuliripotiwa vifo vingi upande wa magaidi wa M23, hadi kuacha vifaa vyao vya vita, wakisambazwa.

Duru hizo zaongeza kwamba askari Jeshi FARDC waendesha operesheni hadi kuzibiti eneo zote za wilaya ya Nyiragongo.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire