Kivu ya kaskazini : Waziri mkuu wa DRC Sama Lukonde amewasili mjini Goma katika ziara ya kazi

Akitokea jimboni Ituri katika ziara za kazi, waziri mkuu Sama Lukonde amewasili hii alhamisi tarehe 21 septemba 2022 mjini Goma saa za jioni. Akisindikizwa na ujumbe wa mawaziri, wanabunge na viongozi wengine nchini DRC, amekuja mjini ili kuchunguza hali ya kazi kuhusu uongozi wa kijeshi jimboni humo.

Kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, huyu akipokelewa na umati kwa shangwe na vigelegele,

Mlolongo wa gari ulimusindikiza waziri mkuu Sama Lukonde kwenyi ikulu ya liwali wa jimbo la Kivu ya kaskazini. Nafasi anatayarisha kukutana na vikundi mbali mbali vya raia, ili kujuwa kipi kinaendeka na kipi kisichoendeka ajili ya kutafuta amani jimboni Kivu ya kaskazini, hususan nchini DRC.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire