Ituri : Raia tano wauliwa na magaidi ADF

Wanamugambo ADF wameshambuliya hii alhamisi tarehe 24 novemba 2022 wilaya la Irumu jimboni Ituri.

Shirika lisilo la kiserkali CRDH maarufu lanena kwamba watu wamepoteza maisha katika shambulizi hilo. Huko Kalalangwe karibu na kanisa la kikatoliki. Pa Kasoko eneo la Mambelenga, watu wawili waliuliwa. Mtu moja ameuliwa pa Abulembi kijiji Ndima kwenyi umbali wa kilomita kumi na barabara nambari nne.

Kiongozi wa shirika CRDH aliyesahini tangazo, anena kwamba ni tangu siku nyingi, adui yaani ma ADF walianza zunguka eneo hilo tangu.

Juvénal Murhula.

.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire