Goma: Wafungwa ndani ya jela kuu Munzenze waishi katika hali mbovu


Wafungwa katika jela kuu Munzenze waishi katika hali ya kutishia, wakikosewa na chakula, pamoja n’a vitendo vingine vya ukiukaji wa haki ya binaadam.

Akihojiwa na mwenzetu wa Agoragrands, mtetezi wa haki ya binaadam Léopold Bagula anena kwamba kwamba wafungwa humo wakosewa n’a chakula, wakifanyiwa vitendo vingine vya ukiukaji wa haki ya binaadam.

Huyu aongeza kwamba wafungwa hawo waishi kwa misaada toka mashirika za kiutu, na hâta makanisa zimoja zimoja. Ijapo sheria inamupa mfungwa haki ya kula Mara tatu kwa siku. Jambo haliheshimiwe na serkali ya DRC.

Pamoja na hayo, mwanasheria aongeza kwamba magonjwa yaripotiwa ndani ya jela hiyo kutokana na hali ngumu ya maisha ya wafungwa.

 

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire