DRC : Raisi wa taifa Félix Antoine Tshisekedi anaongoza kikao kisicho kya kawaida kwa ngazi za uraisi

Raisi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Félix Antoine Tshisekedi anaongoza hii juma tano tarehe 18 disemba kikao kisicho cha kawaida dhidi ya mawaziri , kwenyi ngazi za uraisi. Hayo yafanyika ma saa machache baada ya kugunduwa wanamugambo wawili wanyarwanda wakifanya upelelezi mjini Kinshasa.

Duru hunena kwamba katika kikao, Raisi atazungumzia kuhusu mambo mengi hususan, hali ya usalama kwenyi majimbo ya Kivu ya kaskazini na Ituri .

Na kwamba watu wengine waliweza kunaswa wakishirikiana na wanamugambo hawo wanyarwanda, wanao shutumiwa katika njama hizo zakutaka kuangamiza serkali ya Jamhuri ya demokrasia ya Kongo.

Waziri mkuu makamu akiwa pia waziri wa mambo ya nje anena kwamba, simu ya mshutumiwa toka nchi ya Rwanda ilionekana kuficha habari toka nafasi zimoja za serkali ya DRC. Huyu akitumika bega kwa bega na ma afisa wamoja wa Jeshi la taifa FARDC.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire