DRC: Chama cha kisiasa PPRD kina lazimisha uchaguzi ufanyike mwezi disemba ujao, kama sivyo inabidi kutumia kipengele cha 64

Wakati wa kikao na wandishi habari hii alhamisi tarehe 5 disemba 2023, chama cha kisiasa PPRD kimesema kubaki kwenye msimamo wake, kwamba uchaguzi uweze fanyika mwezi disemba 2023.

Katibu mkuu wa chama hicho Emmanuel Shadari Ramazani anena kwamba hakuna sababu yoyote itatuma uchaguzi usifanyike, na kila kandideti ashirikishwe . Na kwamba pande zote husika za tume huru ya uchaguzi CENI, zishirikishwe kinaganaga ndani ya harakati. Hiyo itapelekea uchaguzi wa kweli, huru, usio egemea pande wowote ule.

Emmanuel Shadari Ramazani anena kwamba tangu mwanzoni mwa mwaka wa 2023, Raisi wa taifa anakuwa mwenyi kuanza kuondoka madarakani ,na kuitwa mwana seneti maishani mwake yote.

Katibu mkuu wa chama cha kisiasa PPRD aongeza kwamba uchaguzi usipo fanyika muda unao stahili yaani mwishoni mwa mwezi disemba, itakuwa muda ya kutumia kipengele cha 64.

Chama cha kisiasa PPRD kinasema kutoshirikishwa ndani ya timu la uongozi la Tume huru ya uchaguzi CENI, na kwamba hakikubali timu liliko kwa sasa.

Chama cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire