Kivu ya kaskazini : Mtu moja afariki dunia kwa kujitundika

Mwanaume moja mwenyi umri wa miaka karibuni sabini ameaga dunia akijitundika. Hayo yalifanyika asunui ya juma tatu tarehe 16 januari 2023 pa Kibirizi usultani wa Bwito wilayani Rutshuru.

Kamisa mkuu amnaye ni kamanda wa kituo cha polisi pa Kibirizi Kizito Mughuma aeleza kwa wenzetu wa mahali yafwatayo:

Kiongozi wa eneo la Mulanda Muhindo Mongera Patrick ahakikisha habari, na kulaumu kitendo hicho. Akisema kwamba kitendo aina hiyo kinastahili azabu kulingana na desturi, pamoja na mila ya kwao. Aliomba raia kujizuwiza katika hali ya hasira.

Issa Lubiri.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire