Habari toka mjini Beni jimboni Kivu ya kaskazini ni kwamba bomu iliweza ripuka kwenyi kata ma campagne kando na barabara, na kusababisha majeraha.
Duru toka hapa na pale zanena kwamba watu waliweza kujeruhiwa na kupelekwa kwenyi vituo vya afya vya karibu, mbele wapelekwe kunako hospitali kuu ya Beni.
Na kwamba ni mtu mwenyi kushikilia silaha asiyejulikana bado ndiye alitenda jambo hilo. Huyu aliingiza bomu yenyewe ndani sahani ya unga ya akina mama moja, Kabla silaha hiyo kuripuka.
Habari hii ikihakikishwa na shirika moja la kutetea haki za binaadam CRDH kwa maarufu pa wilaya ya Beni.
Tukumbushe kwamba shambulizi za maadui wa amani zaripotiwa kila leo tangu mwaka 2012. Zikipelekea wahanga wengi, na hata maelfu ya wahami. Pamoja na hayo asilimia kumi na mbili ya udongo haicunguzwe vilivyo na serkali.
Issa Lubiri.
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.