
Goma: Juliette Mughole Mbambu aomba akina mama wafanya biashara na hata wakulima kuepuka ukosefu wakiweka akiba
Akiwa ziarani mjini Goma, Prezidenti wa chama cha kisiasa ACLP Bi Juliette Mughole Mbambu alikutana na umati wa wanawake mjini humo, ambao walimlaki kwa shangwe […]