Goma: Jeannette Mapera akuja kuweka vikartasi vyake kwenyi CENI ili kugombea nafasi kwa uchaguzi
Akihojiwa kuhusu kazi zilizo fanyika wakati wa kikao bungeni, mwanabunge wa taifa Jeannette Mapera anena kwamba hakuna yoyote aweza kutamka ingawa jimbo la Kivu ya […]