Goma: Jeannette Mapera akuja kuweka vikartasi vyake kwenyi CENI ili kugombea nafasi kwa uchaguzi

Akihojiwa kuhusu kazi zilizo fanyika wakati wa kikao bungeni, mwanabunge wa taifa Jeannette Mapera anena kwamba hakuna yoyote aweza kutamka ingawa jimbo la Kivu ya kaskazini linaendelea kukumbwa na usalama mdogo.

Kwa hiyo alikuja kuhamasisha raia kuhusu harakati za uchaguzi na kuweka vikartasi vyake kwenyi CENI ili kugombea nafasi muda huu wa uchaguzi.

Akinena kwamba aliweza kukawia mjini Kinshasa kwa kuwa alishirikishwa ndani ya kamati husika na uchambuzi dhidi ya uongozi wa kijeshi; état de siège kwa kimombo.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire