
Goma: Mzalendo mkuu Muhindo Nzangi aomba raia mjini Goma waweze kumcagua yeye na Raisi Félix Antoine TSHISEKEDI ili watekeleze kazi walizozianza
Aliyekuwa waziri husika na yunivasti nchini DRC Muhindo Nzangi Butondo mwenyekiti wa chama cha kisiasa AVRP, ameomba raia mjini Goma kuweza kumcagua, kutokana na kazi […]