DRC/ Bunge la taïfa: Vital Kamerhe amebuga ushindi sawa prezidenti wa bunge

Ni hîi juma tano tarehe 22 mei ndipo Vital Kamerhe amechaguluwa kuwa prezidenti wa bunge la taifa.  Ni katika kikao kilicho fanyika bungeni.

Prezidenti wa chama cha kisiasa UNC Vital Kamerhe  akichukuwa sauti 371 dhidi ya sauti 407 katika hali ya shamra shamra.

Kwa mara ya kwanza, Vital Kamerhe anangojewa kushimika serkali yake Suminwa ambayo itatangazwa mwisho wa wiki.

Huyu akirudilia kiti cha bunge miaka 15 baada ya kujiuzulu binafisi bungeni wakati wa uongozi wake Joseph Kabila Kabange.

Tufahamishe kwamba uchaguzi huo wajitokeza siku tatu baada ya kuponea chupa chupu kuhusu mauaji kwenyi makao yake pa Gombe mjini Kinshasa.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire