Ulaya: Hakuna suluhisho kijeshi litakalo tatuwa mizozo mashariki mwa DRC

Umoja wa Ulaya unahakikisha kuunga mkono viongozi wa kanda,  mfano Joâo Laurençon mwenyi kuhusika na diplomasia,  ili kutekeleza amani mashariki mwa DRC, ambako machafuko yanadumu, kutokana na mapigano kati askari wa taifa FARDC na wanamugambo M23 wakisaidiwa na nchi ya Rwanda.

Kamisa wa Ulaya husika na ushirika kimataifa Jutta Urpilainen asema kufurahi,  akikutana mara ya kwanza naye waziri mkuu wa DRC Judith Suminwa huko Brussels. Akihakikisha mbele yake,  kwamba hakuna suluhu kijeshi kuhusu hali ya usalama inayozorota  mashariki mwa DRC, ikisababisha watu milioni saba kuhama maskani yao.

<<Ni kwangu mara ya kwanza kukutana na waziri mkuu wa DRC Judith Suminwa. Tulizungumza kuhusu hali ya nchi. Ujeuri ikipanda kiasi mashariki mwa DRC. Nilikubali kuunga DRC mukono kwa kutekeleza amani kidiplomasia. Hakuna suluhisho kijeshi>,>anena Jutta Urpilainen kamisa husika na ushirika kimataifa huko Ulaya.

Ijapo mazungumzo nchini Angola, mapigano yajitokeza siku  kwa siku Kivu ya kaskazini . Jeshi la taifa FARDC likifukuza wanamugambo M23 kwenye Kijiji Kalembe. Wengi miongoni  mwa magaidi M23 wakipoteza maisha . Ndipo jeshi FARDC lazibiti eneo kwa makini, ili adui asije akajitokeze Mara tena, aeleza mnenaji wa jeshi FARDC.

Tufahamishe kwamba mambo mengine kuhusu maendeleo yalizungumziwa na viongozi hawa yaani Jutta Urpilainen wa Ulaya pamoja na Judith Suminwa wa DRC.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire