Hali ya usalama mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo yenye kuzorota toka kundi zenyi kumiliki silaha, pamoja na magaidi M23. Namna zaendeshwa operesheni za pamoja kati ya jeshi la taifa FARDC na kundi UPDF dhidi ya magaidi ADF huko Kivu ya kaskazini na Ituri.
Ndiyo mazungumzo mhimu, iliyo kutanisha maraisi wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni naye raisi Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, hii juma tatu tarehe 30 oktoba 2024, mjini Kampala.
<<Tulizungumza kuhusu harakati za Amani kwenyi nchi zetu za kanda la maziwa makuu. Ninatumaini kwamba tuliyoyazungumza yatatekelezwa. Nikitumaini hall ya busara ya mwenzetu , kwamba mazungumzo yetu yatafikia lengo, >>, anena Raisi Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo.
Yoweri Kaguta Museveni anena upande wake kwamba walizungumza kuhusu usalama wa nchi hizo mbili yaani Uganda na Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Pamoja na hayo utumiaji wa mafuta ya petroli toka ziwa Albert na ujenzi wa barabara.
Chumba cha wandishi.
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.