Goma: Baada ya mauaji ya watu wawili, sheria yatowa uamzi
Ngoyi Inabanza akiwa wa ranka ya premier sergent wa kitengo garde républicain amehukumiwa kifungo cha kifo na mahakama ya kijeshi ijumaa iliyopita kwa kusababisha mauaji […]
Ngoyi Inabanza akiwa wa ranka ya premier sergent wa kitengo garde républicain amehukumiwa kifungo cha kifo na mahakama ya kijeshi ijumaa iliyopita kwa kusababisha mauaji […]
Hali ilikuwa ya heka heka pa Ndosho mtaani Karisimbi usiku wa juma nne kuamkia juma tano tarehe 27 novemba 2024. Mtu moja anayezaniwa mzalendo apoteza […]
Habari toka Jimbo la Ituri ni kwamba watu arubaini na saba ndiyo wamefariki dunia kwenye jela kuu la Mambasa tangu mwanzoni mwa mwaka 2024. Shirika […]
Raisi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo angojewa mjini Kalemie hii juma nne tarehe 26 novemba 2024. Huko ataendesha kongamano ya […]
Kesi yake Seth Kikuni îmefika ukingoni hii juma tano tarehe 20 novemba 2024 kwenye jela kuu Makala mjini Kinshasa. Mahakama ya Amani mjini Kinshasa/ Gombe […]
Ni karibu wiki moja tangu risasi kutopigwa kiholela mjini Goma saa za usiku hasa, kama ilivyo desturi mjini humo jimboni Kivu ya kaskazini mashariki mwa […]
Que les enseignants qui ont repris les cours ne puissent plus rompre. Tout en poursuivant les pourparlers avec le gouvernement congolais. Au lieu de grever […]
Préparatifs de la journée mondiale du diabète célébrée le 14 novembre de chaque année. LAssociation des Diabétiques du Congo en pleine préparation de cette journée […]