Goma: Mtoto amezikwa akiwa hai na watu wasiojulikana

Mjji wa Goma.

Mtoto mdogo amezikwa akiwa hai na watu wasiojulikana katani Kyeshero mjini Goma Kivu ya kaskazini. Hayo yalifanyika juma tatu tarehe 16 mei 2022.

Jules Ngeleza prezidenti wa shauri la vijana mtaani Goma , anena kwamba hayo yalifanyika ndani ya kitongoji faculté de droit. Ndipo wakaaji kugunduwa mwili na kuipeleka hima kwenyi kituo cha afya cha Kyeshero.

Duru zaeleza kwamba mtoto alitekwa nyara na wahalifu ma saa ishirini na nne mbele kwenyi kitongoji Muhabura katani Ndosho mtaani Karisimbi.

Shauri la vijana pa Ndosho kupitia Jules Ngeleza lalaumu kitendo hicho, na kulazimisha viongozi kufanya uxhunguzi ili kugunduwa watenda maovu hawo na kuwaazibu.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire