
Goma: Mwakilishi wa SVK yaani soutien à Vital Kamerhe kwa kimombo yuko ziarani mashariki mwa DRC ili kusisimuwa kazi mbele ya uchaguzi mwaka 2023
Mratibu nchini wa Muungano SVK awasili mjini Goma hii juma pili tarehe 27 machi 2022 katika lengo la kusisimuwa kazi jimboni Kivu ya kaskazini, tukizungumza […]