Kivu ya kusini : Vikosi vya jeshi la Burundi vyaingia kwenyi ardhi ya DRC, ili kusaka pamoja usalama na jeshi la taïfa

Habari toka bondeni Ruzizi jimboni Kivu ya kusini, ni kwamba askari jeshi toka nchi ya Burundi wameingia kwenyi udongo wa DRC. Ni katika lengo la kuzisaka kundi zenyi kumiliki silaha kinyume na sheria, za DRC kama za ugenini. Yote ni katika lengo la kutekeleza usalama kwenyi nchi za kanda la maziwa makuu.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire