Beni: wanamugambo ADF waendelea na shambulizi na kusababisha maafa mengi

Wanamugambo ADF wameshambuliwa kijiji Kabasha, huko Beni, kunako barabara Béni Butembo. Ni katika usiku wa juma nne kuamkia juma tano tarehe 9 novemba 2022. Katika shambulizi hilo kuwapeleka raia.

Duru zetu kutoka Béni zaeleza kwamba mganga moja na walinzi wa wagonjwa walipelekwa mahali pasipo julikana. Serkali imeandaa uchunguzi ili kujuwa idadi kamili ya maafa iliyofanyika. Wahanga waliopelekwa hawasikike hadi sasa.

Duru zetu hunena kwamba wanamugambo ADF walipora pia duka, jumba za dawa, kituo cha afya cha mahali na kadhalika. Ijapo askari Jeshi FARDC kuweko mahali. Na kwamba ni mara ya kwanza kufanyika kwa shambulizi eneo, tangu magaidi kuanza vitendo vya ujeuri mwaka 2014.

Juvénal Murhula.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire