Goma: Mwana teknolojia Patrick Daudi atoka kushiriki kwenyi kikao ID AFRICA pa Moroko

Patrick Daudi Faraja ameambia wandishi habari mjini Goma kuundwa kwa teknolojia kuhusu uongozi. Kazi aliyoionyesha kwenyi kikao ID AFRICA mjini Marekech nchini Moroko.

Watalaam katika teknolojia toka barani AFRIKA walishiriki kikao huko. Wakifikiri kuhusu kitambulisho kupitia technolojia barani AFRIKA. Ilikuwa fursa kwake Patrick Daudi Faraja kushiriki kwa niaba ya jimbo la Kivu ya kaskazini.

Akiongeza kwamba uongozi kiteknolijia Kwa jina KODINET unajibu kwenyi shurti kimataifa. Na kwamba mpango huo waweza kutoa passport Kwa DRC nzima , na nchi zingine .

Lengo ni kwamba watambulike raia wote mwaka 2030, barani AFRIKA n’a ndio maana kushiriki kwetu anena mtalaam huyo Patrick Daudi Faraja..

Juvénal Murhula.

 

 

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire