Ufransa: Uhusiano kati ya Ufransa na Mali umevunjika yaani kuondoka kwa wanajeshi nchini Mali

Bendera ya Mali.

Emmanuel Macron Raisi wa Ufransa amejieleza hii ijumaa tarehe 17 februari kuhusu kuondoka kwa wanajeshi wake nchini Mali kutokana na kuzorora kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

Katika mkutano na wandishi habari huyu asema kwamba wanajeshi wa Ufransa nchini Mali wanapewa muda wa miezi sita kwa kuondoka Mali. Muda hiyo itawaruhusu kujitayarisha kuondoka.

Mali inashutumiwa kuwa na wasaidi wapya wa Russia kunako ardhi yake jambo ambalo haikuhakikisha mbele ya mshirika wake Ufransa. Ni moja wapo ya kuzorota kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili.

Ijapo kuondoka kwa wanajeshi nchini Mali, Emmanuel Macron aeleza kwamba wanajeshi wake wataendelea kuhudumia eneo la Saleh na nchi zingine za Afrika.

Viongozi wamoja wa Mali upande wao washutumu Ufransa kujihusisha kutafuta mali ya nchi hiyo, wakisisitiza kuwa tangu kuweko kwa vikosi vya Ufransa nchini Mali hakuna mabadiliko kuhusu usalama mdogo unao sababishwa na wanamugambo Jihadi

Tufahamishe kwamba ni tangu mwaka 2013 ndipo wanajeshi wa Ufransa wahudumia Mali. Wanajeshi 53 tayari wamepoteza maisha huko Mali wakuuliwa na wana Jihadi.

Uhusiano kati ya Ufransa na Mali umezorora zaidi baada ya utawala wa kijeshi nchini Mali umbali na utawala ulioko mbeleni.

Chumba cha wandishi

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire