Nyiragongo : Watu wawili kujeruhiwa katika hali ya heka heka ya vijana baada ya kumuuwa mwenziwe pa Buhene

Vijana wawili walijeruhiwa katika hali ya heka heka ya vijana pa Buhene na askari asubui ya juma nne tarehe 5 aprili eneo la Munigii wilayani Nyiragongo.

Hawa walionyesha hasira baada ya kumuuwa kijana moja mwenyeji duka kwa jina la Blaise aliyefariki kwa rafla.

Pamoja na hayo waliweza kufunga barabara na baadae kusambazwa na askari polisi. Katika operesheni hiyo, vijana wawili kujeruhiwa wakipigwa risasi na askari polisi.

Pierre Mutokwe memba wa vijana wa Buhene pia wa kundi la vijana MNC aomba askari polisi kufunzwa na kufunga huyu aliyejeruhi vijana wavili wakati wa vuta ni kuvute, hata yule aliyemuuwa kijana Blaise

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire