Kijana binti mwenyi umri wa miaka nane afariki dunia kwa kujinyonga. Huyu alikutwa amejitundika hii juma mosi tarehe 6 Agosti 2022, majira ya saa kumi na mbili za asubui.
Ushuhuda kadhaa zaeleza kwamba alijitundika akitumia kamba alipokuwa kitandani, kwenyi chumba cha kulala. Ndipo mama yake mzazi alimkuta amefariki dunia, akiwa na kamba shingoni.
Duru hizo zaangazia kwamba baba ya mtoto huyo binti ni Saidi Kashombili, mama yake ni Kanyere Mambomingi.
Vyombo vya usalama vilifika mahali hapo na kufanya uchunguzi. Baadae hakimu mkuu kuamuru kotowa mwili ndani ya kamba, kwa kungojea mazishi ifanyike.
Chumba cha wandishi.
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.