Goma/ michezo:  Vuta ni kuvute kati ya wana mcezo wa ngumi ili kusherekea siku kuu ya uhuru wa DRC

Ligi husika na mchezo wa ngumi jimboni Kivu ya kaskazini inaandaa michezo mbali mbali ajili ya kusherekea tarehe 30 juni, siku ambayo DRC ilipata uhuru.

Ni katika lengo hilo, ndipo wana mchezo ya ngumi wa jimbo la Kivu ya kaskazini, kusini na hâta wa jimbo la Maniema watapatika mjini Goma  kuhusu kumbukumbu ya miaka sitini na nne ya uhuru wa DRC .

Kwa hiyo, wapendelevu wa mchezo ya ngumi watakuwa wakitazama gisi mambo yatatendeka uwanjani.

Lengo mhimu ni kutaka kuinua mchezo ya ngumi kwenyi maeneo na kugundua ujuzi mpya mwa husika.  Wakiandaa michezo mbali mbali kulingana na nguvu za kila aina ya wanamchezo wa ngumi. Mchezo itakuwa vuta ni kuvute siku hiyo.

Chumba cha wandishi.

Soyez le premier à commenter

Poster un Commentaire