Mungu wetu ni Mungu wa amani, wa usawa, ambaye hutembeleya taifa lake ijapo hali ya mauaji laishimo. Mungu anayeinuwa na hajasahau kamwe mji wa Goma na Jimbo nzima. Ndio maana ametutuma kuleta matumaini kwa taifa lake kwani muda umetimu.
Nabii Ken MUYAYA anena hayo alipo wasili kwenyi uwanja wa ndege mjini Goma, ili kushiriki kwenyi Kongamano inayo andaliwa tarehe 5 hadi tarehe 12 disemba 2021 na kanisa EGD mjini Goma.
Kwake Nabii , vijana hawana nafasi ndani ya vita ila kunako yunivasti , ndani ya kazi ili ya mendeleo ya nchi. Akiomba vijana wenyi kumiliki silaha kurudilia shule ili waelimishwe kuhusu maendeleo ya nchi.
Na kwa watumishi wa Mungu wenyi kujishusha ndani ya mizozo kurekebisha na kutangaza injili maana mizozo hayawezi kuinua nchi.
Juvénal Murhula
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.