
Mwili usio na uhai wa akina mama moja mwenyi umri wa miaka takriban thelasini ulikutwa umelazwa eneo za Bideka wilayani Walungu jimboni Kivu ya kusini.
Duru toka huko hueleza kwamba mwili huo usio na uhai ulikutwa jioni majira ya saa tisa. Na kwamba mhanga alikuwa mtumishi kunako jumba moja la mapokezi eneo hilo. Na kuongeza kwamba mwenyeji jumba yuko mbioni baada ya msiba.
Shirika za kutetea haki ya binaadam Walungu Bideka zaomba uchunguzi ufanyike ili kugunduwa wahusika katika mauaji hayo.
Juvénal Murhula
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.