Marekani imehakikisha kutowa milioni 725 dola za marekani kwa nchi ya Ukraine, inayokumbwa na maafa ya vita. Hiyo ni msaada kijeshi. Ila Arabia yaani Arabie Saoudite itatowa milioni 400 dola za marekani, ikiwa msaada kiutu kwa nchi hiyo.
Duru za kimataifa hunena kwamba msaada huo utapima kuleta mcango kwa nchi hiyo ambayo imeteketea kutokana na vita kati ya nchi yenyewe na Urusi, ambayo imepelekea Vifo na maafa mengine mengi.
Na kwa kuwa Raisi wa Urusi amenena tangu hii ijumaa tarehe 14 oktoba ndani ya mkutano na wandishi habari kwamba hana shabaa tena ya kuharibu nchi ya Ukraine.
Chumba cha wandishi.
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.