Mwana teknolojia Patrick Daudi atoka ameambia wandishi habari kuweko Kwa teknolojia nyipya kuhusu uongozi. Kazi waliyoionyesha kwenyi kikao ID AFRICA iliyoandaliwa huko Marekech nchini Moroko.
Wahusika n’a ujuzi huo barani AFRIKA walishiriki kikao pa Marrakech il kufikiri kitambulisho kupitia technolojia barani AFRIKA. Ilikuwa fursa kwake Patrick Daudi kushiriki kwa niaba ya jimbo la Kivu ya kaskazini.
Akiongeza kwamba uongozi kiteknolijia Kwa jina KODINET unajibu kwenyi shurti kimataifa, na kwamba mpango huo waweza towa passport Kwa DRC, nchi zingine zenyi hitaji.
Lengo ni kwamba watambulike raia wote mwaka 2030 barani AFRIKA n’a ndio sababu yake Patrick Daudi kushiriki kongsmano.
Juvénal Murhula
.
Poster un Commentaire
Vous devez vous connecter pour publier un commentaire.